Mara nyingi tokea kuenea kwa ugonjwa wa ukimwi viongozi na vyombo mbali mbali vya habari vimekuwa vikihamasisha matumizi ya condom kwamba ndio kinga ya sahihi ya ukimwi, imefikia hatua baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini nyingine kukubaliana na jambo hili na kuhama sisha wafuasi wao juu ya matumizi ya condom.
Sisi waislamu tunapinga kwamba condom si kinga sahihi ya ukimwi kwani mwenyezi mungu anasema " mwenye kupuza muongozo wangu kwa hakika mtu huyo ataishi maidha ya dhiki ........ qurani 20 : 124"
Aya hii inatuonesha kuwa mwanadamu hana uwezo wa kushindana na mwenyezi mungu hasa pale mwenyezi mungu anapo taka jambo lake liwe mwanadaamu hawezi kulibadili wala kulirekebisha, na kama atalazimisha kufanya hivyo yatamkuta matatizo makubwa hapa hapa duniani na kesho akhera.
Uhamasishaji wa matumizi ya condom ni dalili tosha kwamba mwanadamu anashindana na uwezo wa mwenyezi mungu kwani ukimwi ni sehemu ya adhabu ya mwenyezi mungu kwa wanaadamu kutokana na machafu ya kumuasi mwenyezi mungu yalivyo zidi hapa duniani, ushahidi wa maneno haya ni pale mtume s.a.w aliposema katika hadithi ilio pokelewa na Abdallah ibn omary kwamba" Utakapo kithiri uchafu wa zinaa katika umma wangu ikafanywa wazi wazi basi mwenyezi mungu atawaletea gonjwa la tauni na gonjwa ambalo hawajapata kuugua watu waliopita kabla yao".
Kauli hii ni uthibitisho kuwa ukimwi ni sehemu ya adhabu ya mwenyezi mungu kwa wanaadamu kutokana na machafu yanayo fanywa hapa duniani ya zinaa, kwani ukweli usio pingika kwamba ugonjwa huu unapatikana kwa njia ya zinaa, na wazee wetu walio kufa miaka iliopita hata kabla ya uhuru hawakupata kuusikia ugonjwa huu wa ukimwi, sasa tusijidanganye kuwa balaa hili tutaweza kuliondoa au kulizuia kwa kutumia condom.
UTHIBITISHO KWAMBA CONDOM SI KINGA SAHIHI YA UKIMWI.
(A) Tokea kuingia kwa ukimwi duniani condom zilihamasishwa saana na kusambazwa kwa madai kwamba ndio kinga lakini tunacho kiona ni kwamba kila zinapo sambazwa na kutangazwa ndipo ukimwi unavyo zidi na hatujapata ripoti popote duniani kwamba condom zimeweza kupunguza au kuzuia ukimwi. kwa mfano nchi kama ETHIOPIA ni nchi pekee katika nchi ya sub-saharan africa inayo sambazwa condom saana kwa asilimia themanini ( 80% ), tokea mwaka 1994 mpaka kufikia mwaka 2000 inajumla ya walio athirika 3,000,000. kwa maana hiyo inaonekana kwamba condom si kinga ya ukimwi.
(B) Condom si kinga ya ukimwi kwa kuwa uwezo wake ni kuhifadhi uume tu lakini sehemu kubwa ya maungo ya siri ya mwanaume na mwanamke inabakia wazi, na watu wengi hasa wakati wa joto hua na michubuko sehemu za siri hasa katika katika msuguano kati ya mapaja na korodani, kwahiyo mchubuko utakao endelea wakati wa msuguano kati ya mapaja ya mwanamke na mwanaume hua ni sehemu ya maambukizo ya ugonjwa huu.
(C)Condom si kinga ya ukimwi kwa kuwa yenyewe ina matundu madogo sana ambayo huezi ukayaona kwa macho ya kawaida mpaka kwa kifaa maalumu ila ukitaka kuthibitisha kwamba condom ina matundu chukuwa maji ya pili pili alafu yajaze mai hayo ndani ya condom, alafu lamba kwa ulimi wako nje ya condom, utasikia muasho wa pili pili katika ulimi wako, kwahiyo hii inazidi kuthibitisha kwamba condom si kinga ya ukimwi.
wallahu aalam.
UISLAMU NA UKIMWI.
Ndugu msomaji wa mada hii, lo ningependa kukumbushana juu ya tatizo lililopo hivi sasa duniani kuhusu janga la ukimwi. Ni gonjwa ambalo kwa hivi sasa linatishia maisha ya watu wengi duniani.
Mataifa mbali mbali, mashirika na taasisi nyingi duniani zimeuelezea ugonjwa wa ukimwi na athari zake, na mimi pia nimeonelea ni vyema niandike mada hii ili nipate kuielezea jamii juu ya gonjwa hili hatari kwa mtazamo wa kiislamu.
Huenda atakae soma na kuzingatia yaliyomo mwenyezi mungu atamuepusha na balaa hili inshaallah uislamu ni dini iliyo kamilika na nimfumo kamili wa maisha ya wanadamu, bila shaka jamii inategemea uislamu pekee ndio utakao toa ufumbuzi wa matatizo yote duniani ikiwemo suala la ukimwi. Kwa atakae kubali na kufuata kwa kuangalia mafundisho ya Qurani na hadithi za mtume huyo pekee ndio atakae nusurika na janga hili.
UKIMWI NI NINI ?
Ukimwi ni ugonjwa ambao unadhoofisha kinga ya mwili wa mwanadaamu. Vijidudu vya human immuno deficiency virus ( HIV ) vikisha ingia mwilini hushambulia chembe hai nyeupe ( white blood cells ) ambayo humsaidia mwanadamu kupambana na maradhi mwilini mwake.
Pia chembe hai nyeupe ( white blood cells ) vikishirikiana na chembe hai nyekundu ( red blood cells ) kwa pamoja huunda damu katika mwili wa mwanaadamu. Hivyo basi chembe hai nyeupe zikimalizika mwilini kutokana na kushambuliwa na HIV basi mwili huo hukosa kinga kiasi ambacho ugonjwa wowote utapoingia mwilini mgonjwa atateseka mpaka kufa hata kama atatumia dawa kwasababu dawa pekee haiwezi kufanya kazi mpaka ishirikiane na chembe hai nyeupe.
Tumeshuhudia mara nyingi wagonjwa wa ukimwi mwisho wao hufa kwa njia mbalimbali wengine hutokwa na vidonda vingi mwilini na wengin hukohoa sana kama wagonjwa wa kifua kikuu na wengine kuharisha sana kama wagonjwa wa kipindupindu na njia zingine mbalimbali.
HALI YA UKIMWI DUNIANI
Ugonjwa wa ukimwi uliripotiwa kwa mara ya kwanza marekani mwaka 1981 hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 1998 zaidi ya watu wazima millioni 33 ambao kati yao watoto ni million 4, na millioni 1.2 ni wenye umri chini ya miaka 15 wanaishi na virus vya ukimwi Duniani.
Mwaka 1998 vijana millioni 3 wenye umri kati ya miaka 15-24 waliambukizwa virusi vya ukimwi, hivyo ni wastan wa vijana watano wanaambukizwa kila dakika.
Hali ya ukimwi Tanzania tangu ugonjwa huu ufahamike hapa nchini mwaka 1983 ambapo wagonjwa watatu waligunduliwa, kumekuwepo na ongezeko la wagonjwa mwaka hadi mwaka mpaka kufikia 1997 wagonjwa 103,185 wameripotiwa katika hospitali mbalimbali nchi nzima.
Tanzania imeshika nafasi ya sita katika nchi za sub-saharan Africa zikiongozwa na africa kusini yenye waathirika 4,200,000 na ya pili ni ethiopia yenye waathirika 3,000,000 na ya tatu ni nigeria yenye waathirika wa ukimwi 2,700,000 na nchi ya tano ni zimbabwe yenye waathirika 1,500,000 na nchi ya ni tanzania yenye waathirika 1,300,000. hiyo ni record ya mwaka 2000, sasa jiulize wewe mwenyewe kama mwaka 2000 nchi ya tanzania ilikuwa nafasi ya sita je, mpaka leo mwaka 2017 tanzania itakuwa nafasi ya ngapi??
UNAPATIKANAJE UKIMWI ?
Ukimwi unapatikana kwa kuwambukizwa na mtu alie athirika na virusi vya HIV vinavyo sababisha ukimwi kupitia ngono au kushirikiana katika matumizi ya vifaa vyenye ncha kali kama nyembe, sindano na vinginevyo. kwakua virusi vya ukimwi hupatikana katika maji maji ya mwili kama vile damu, usaha, maziwa ya mama, shahawa, na maji maji ( ute ) utokao ukeni kwa mtu alie ambukizwa virusi vya ukimwi, hata hivyo damu na maji maji ( ute ) yatokanayo na tendo la ngono ndio yanaidadi kubwa ya virusi vya ukimwi ukilinganisha na maji maji mengine ya mwili. wakati wa kufanya tendo la ngono virusi vya ukimwi vinaweza kujipenyeza kutoka katika damu au maji maji ( ute ) au shahawa ya mtu mwenye uambukizo hadi katika damu ya mtu mwingine kwa kupitia ngozi laini ya uke au uume au njia ya haja kubwa.
Sisi waislamu tuna sema Ukimwi unaenezwa zaidi kwa njia ya zinaa kwasababu neno ngono halitenganishi kati ya wenye ndoa na wasio na ndoa, hivyo basi ndoa sahihi ya kiislamu iliyo fuata maadili na yenye kulinda mipaka yake ipasavyo, ngono kati yao haiwezi kuwa sababu ya kuambukizana ukimwi, isipokuwa ni baada ya kuvunjwa mipaka na maadili ya ndoa hiyo, kwahivyo tunasema ukimwi unasababishwa na kuenezwa sana kwa wanaadamu duniani kwa njia ya zinaa.
Zinaa ni jambo baya sana na ndio maana sheria ya kiislamu ina muhukumu mzinifu alie kwisha oa au kuolewa hukumu ya kifo. Hukumu hii inaonesha uwezo wa mwenyezi mungu katika kuyajua mambo yalio jificha kwa kuwa hukumu hii hasa kwa wakati huu wa ukimwi ndio njia pekee ya kuwanusuru baadhi ya wenye ndoa kwani mke au mume akivunja mipaka ya ndoa ( akizini ) na akibainika akauwawa hikima yake ni kwamba zinaa hiyo imemsababishia ugonjwa wowote ( wazinaa) asije mwambukiza mwenziwe, hii ni kuonyesha uislamu ulikwisha weka zamani mazingira ya kupambana na magonjwa ya zinaa pamoja na ukimwi kutokana na sheria zake.
Njia nyingine inayo sababisha maambukizo ya ukimwi ni katika makundi au vijiwe vya watumia madawa ya kulevya kwa kushirikiana sindano wanazo dungiwa dawa hizo, kwa kawaida vijana watumiao dawa za kulevya hudungwa sindano vijiweni na sindano moja hutumika kudunga vijana wengi hali inayo sababisha kuambukizana virusi vya ukimwi kama kuna muathirika miongoni mwao.
Na ndio maana mwenyezi mungu akakataza vilevyi vyote ili heshima ya mwanaadamu iweze hifadhika na kumuhifadhi na magonjwa mengin tunayo yajua na tusio ya jua. hii ni sehemu fupi ya ukimwi katika uislamu na tutazidi kufahamishana kadri mwenyezi mungu atavyo tuwezesha.
waallahu aalam.

MLANGO KUHUSU DUNIA.
Mtume s.a.w amesema :- " Dunia ni kichwa cha kila kosa"
pia kasema tena mtume s.a.w :- " Utamu wa dunia (basi ndio) uchungu wa akhera, na uchungu wa dunia (ndio) utamu wa akhera". Madhumuni ya hadithi hii ni kwamba atakae ishughulikia Dunia kwa starehe akamsahau mola wake kwa upuuzi wa dunia, basi Akhera itakuwa chungu kwake.
pia kasema mtume s.a.w :-
"Dunia ni jela ya muislamu na ni pepo ya kafiri".
Dhumuni la hadithi hii ni kueleza kwamba kafiri starehe zake ni duniani tu, ama Akhera anakwenda moja kwa moja jahannam( motoni). Ama muislamu haimstui dunia na upuuzi wake, anastahamili na kusubiri na kujiepusha na upuuzi wa dunia ili akastarehe peponi.

SALA YA DHUHAA.
Sala hii ni sala ya sunna alio tuusia mtume wetu muhammad s.a.w kwamba tusiache kusali sala hii kwa kadri ya uwezo wa mtu, kwasababu sala hii ina mafanikio makubwa sana duniani na akhera, mtume s.a.w amesema mola wenu amesema " Ewe bin Adam, swali rakaa 4 kwa ajili yangu mwanzo wa siku na mimi nitakutekelezea mahitaji yako kwa muda ulio baki" (imesimuliwa na Abuu daud)
FAIDA ZA KUSALI SALA YA DHUHAA.
1. Imesaliwa na mitume wote
2.hufuta baadhi ya madhambi unayo yajua na usio yajua.
3.Ni kama umetolea sadaqa mwili wako wote kwa ajili ya Allah.
4.Ina nguvu sana ya kuvuta riziki
5.Huchoma majini waovu
6.Inaleta ushindi mkubwa katika mambo yako mbali mbali
7.Upo mlango maalumu wa peponi kwa ajili ya wale wanao dumisha sala hii
MUDA WA KUSALI SALA YA DHUHAA.
Sala hii huanza kusaliwa saa 1 asubuhi hadi saa 6 mchana, na husaliwa kuanzia rakaa 2 hadi 12 kwa mwenye uwezo wa kusali rakaa zote 12 ni bora zaidi.

Subscribe to:
Posts (Atom)