SALA YA JENEZA (SALA YA MAITI)
Mambo gani ni wajibu kufanyiwa maiti?
Ni wajibu kufanyiwa matayarisho, nayo ni;
1.kukoshwa
2.kukafiniwa
3.kusaliwa
4.kuzikwa.
Vipi husaliwa sala ya maiti?
1.Anuilie anaesali kuwa anamsalia huyo maiti pamoja na kupiga takbir-Allahu akbar
2.ASome suratil faatiha
3.Aseme Allahu Akbar
4.Amsalie mtume S.a.w
5.Aseme Allahu akbar
6.Amwombee dua maiti
7.Aseme Allahu Akbar
8.Atoe salamu
WALLAHU AALAM*******YURY'S LAW
No comments:
Post a Comment