SALA YA MSAFIRI.
Vipi atasali anae safiri?
Inajuzu kwa msafiri kupunguza rakaa mbili kwa sala Adhuhuri, laasiri na Isha. Na pia inajuzu kuzichanganyisha ( kuzisali kwa pamoja) sala ya Adhuhuri na laasiri, na magharibi kuisali pamoja na Isha kwa wakati mmoja. inajuzu kufanya hivyo kwa kutanguliza au kuchelewesha.
Ni ipi nia ya sala ya msafiri?
nia yake ni ; nina sali sala ya faradhi ya adhuhuri, rakaa mbili kwa kutanguliza pamoja na kukusanya ( au kuchelewesha pamoja na kujumuisha) kwa hali ya kupunguza kwa ajili ya mwenyezi mungu ( allahu akbar)
WALLAHU AALAM*******YURY'S LAW
No comments:
Post a Comment